New Video: Ivan -Tunapendana
Videos

New Video: Ivan -Tunapendana

Director wa video za muziki Bongo amabye pia ni msanii wa muziki, Director Ivan ameachia video ya ngoma yake mpya…
New Video: Prezzo X Dogo Janja – Hamsa Mia
Videos

New Video: Prezzo X Dogo Janja – Hamsa Mia

Msanii wa muziki Prezzo kwa kushirikiana na Dogo Janja wameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Hamsa Mia’. Audio ya…
Video: Baada ya ‘Wowowo’, ZaiiD ataja kinachofuata
Burudani

Video: Baada ya ‘Wowowo’, ZaiiD ataja kinachofuata

Rapper ZaiiD amesema ngoma kuwa baada ya ngoma yake ‘Wowowo’ na kupokea show nyingi anatarajia kuachia kazi yake mpya kuanzia…
Video: Joh Makini afunguka kuhusu dili zinazompa mkwanja
Burudani

Video: Joh Makini afunguka kuhusu dili zinazompa mkwanja

Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, Joh Makini amefunguka juu ya dili zake za matangazo zinavyomlipa pia ameelezea kuhusana…
Video: Wakazi azindua albamu ya ‘KISIMANI’
Burudani

Video: Wakazi azindua albamu ya ‘KISIMANI’

Rapper kutoka kundi la SSK, Wakazi amezinduzi wa albamu yake ya ‘KISIMANI’ yenye ngoma 18 mapema leo na kutoa ufafanuzi…
New Video: Seline – Chapalapa
Videos

New Video: Seline – Chapalapa

Msanii wa muziki Bongo, Seline ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Chapalapa’. Audio ya ngoma hiyo imefanywa na Abba…
Wema Sepetu amwagia sifa Diamond
Burudani

Wema Sepetu amwagia sifa Diamond

Msanii wa Filamu Bongo, Wema Sepetu amemwagia sifa msanii wa muziki Diamond Platnumz. Wema amemwagia sifa Diamond ambaye ni Boss…
Safaree: Nicki Minaj na Nas walinisaliti
Burudani

Safaree: Nicki Minaj na Nas walinisaliti

Rapper Safaree ambaye alikuwa na mahusiano ya kimapenzi rapper Nicki Minaj amefunguka juu ya kisa na mkasa uliomkuta wakati wa…
Video: Filamu zinazowania tuzo za SZIFF zatajwa
Bongo Movie

Video: Filamu zinazowania tuzo za SZIFF zatajwa

Azam TV kupitia Channel yake ya Sinema Zetu wametangaza vipengele 18 vya filamu na kimoja kikiwa cha watazamaji (Viewers Choice…
New Video: Kidoti baby Ft. Amber Lulu – Sina Uoga
Videos

New Video: Kidoti baby Ft. Amber Lulu – Sina Uoga

Msanii wa muziki Bongo, Kidoti Baby ameachia video ya ngoma yake iitwayo ‘Sina Uoga’ ambayo amemshirikisha Amber Lulu. Itazame hapa.
Video: Muigizaji Pritika Rao kutoka India kutua Bongo katika SZIFF
Bongo Movie

Video: Muigizaji Pritika Rao kutoka India kutua Bongo katika SZIFF

Muigizaji wa tamthilia kutoka nchini India, Pritika Rao anatarajiwa kutoa Bongo na kupamba tuzo za Sinema Zetu ‘International Film Festival…
New Video: Diamond Platnumz ft Omarion- African Beauty(Explicit 18+)
Videos

New Video: Diamond Platnumz ft Omarion- African Beauty(Explicit 18+)

Msanii wa muziki wa Bongo, Diamond Platnumz ameachia video ya ngoma mpya iitwayo ‘African Beauty’ aliyomshirikisha Omarion. Video hiyo imeongozwa na…
Diva akomalia mahari ya Milioni 500
Burudani

Diva akomalia mahari ya Milioni 500

Mtangazaji Diva ameendela kusisitiza kuwa ataolewa kwa mahari ni milioni 500 na mwanaume anayejua lugha ya kingereza. Diva ambaye alikuwa…
Shamsa Ford ahofia ya Zari ‘Mungu niepushe’
Bongo Movie

Shamsa Ford ahofia ya Zari ‘Mungu niepushe’

Msanii wa Filamu Bongo, Shamsa Ford ameweka wazi hisa zake za kuogopa kuachanana na mumuwe. Mrembo huyo ametumia mtandao wa…
Snapchat waomba radhi kwa Rihanna na Chris Brown
Burudani

Snapchat waomba radhi kwa Rihanna na Chris Brown

Mtandao wa kijamii wa Snapchat umeomba radhi kwa wasanii wawili wa muziki baada ya kutumia picha na maneno mabaya katika…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents