DODOMA: Bunge laanza rasmi leo, Wabunge waanza kutumia VISHIKWAMBI
Habari
November 5, 2019 - 9:20 am
DODOMA: Bunge laanza rasmi leo, Wabunge waanza kutumia VISHIKWAMBI
Leo Mkutano wa 17 wa Bunge vikao vyake vinaaza rasmi, Bunge hilo pia linaaza kutumia mtandao, Mfumo ambao utapunguza gharama…
Jaji Mkuu Kenya adai kufanyiwa figisu ili atolewe madarakani, ‘Wametupunguzia bajeti, Hadi kununua mafuta tunashindwa’
Habari
November 5, 2019 - 8:26 am
Jaji Mkuu Kenya adai kufanyiwa figisu ili atolewe madarakani, ‘Wametupunguzia bajeti, Hadi kununua mafuta tunashindwa’
Jaji Mkuu wa Kenya, David Maraga ametishia kususia kufanya majukumu yake ya kikazi, Baada ya kupunguzwa kwa bajeti ya mahakama…
Rais Magufuli afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali, Amteua Kichere kuwa CAG mpya
Habari
November 3, 2019 - 12:57 pm
Rais Magufuli afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali, Amteua Kichere kuwa CAG mpya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Magufuli leo Novemba 3, 2019 amemteua Charles Kichere kuwa Mdhibiti…
RIPOTI: Nchi 13 zinazoongoza kwa mauaji ya waandishi wa habari duniani zatajwa, Somalia kinara
Habari
November 3, 2019 - 11:26 am
RIPOTI: Nchi 13 zinazoongoza kwa mauaji ya waandishi wa habari duniani zatajwa, Somalia kinara
Ripoti ya Kamati ya Kimataifa ya Kuwalinda Waandishi wa Habari duniani (CPJ) inayopima kiwango cha vitendo vya uvunjifu wa sheria…
Aunty Ezekiel achoshwa na watu wanaomponda Wema kujikondesha ‘Walimuita Nyumbu, Natamani sana kuzaa ila sio ndoa’ (+Video)
Burudani
November 3, 2019 - 10:07 am
Aunty Ezekiel achoshwa na watu wanaomponda Wema kujikondesha ‘Walimuita Nyumbu, Natamani sana kuzaa ila sio ndoa’ (+Video)
Muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Aunty Ezekiel ameshangazwa na mashabiki wa Wema Sepetu kwa kumshambulia mrembo huyo baada ya kupunguza…
AFYA: Yafahamu magonjwa manne mapya duniani yanayosababishwa na ngono uzembe, Vijana wapo hatarini zaidi
Afya
November 2, 2019 - 6:54 pm
AFYA: Yafahamu magonjwa manne mapya duniani yanayosababishwa na ngono uzembe, Vijana wapo hatarini zaidi
Kwa sasa duniani magonjwa mapya huibuka kila siku, Na magonjwa mengi ni yale ya kuambukizana na ndio yenye changamoto zaidi…
Rais Museveni aingilia kati maandamano ya wanafunzi wa Makerere ‘Wanajeshi waondoke hiyo sio kazi yao, Jadilianeni’
Habari
October 31, 2019 - 1:10 pm
Rais Museveni aingilia kati maandamano ya wanafunzi wa Makerere ‘Wanajeshi waondoke hiyo sio kazi yao, Jadilianeni’
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni ameagiza wanajeshi wanaozingira chuo kikuu cha Makerere kwa lengo la kutuliza maandamano waondoke mara moja…
AFYA: Fahamu ugonjwa hatari wa figo unavyohusiana na UKIMWI ‘HIVAN’
Habari
October 31, 2019 - 11:21 am
AFYA: Fahamu ugonjwa hatari wa figo unavyohusiana na UKIMWI ‘HIVAN’
Tafiti zimebaini kuwa wagonjwa wengi wa Ukimwi huathiriwa sana na ugonjwa wa figo, Ugonjwa wa figo unaohusiana na Ukimwi (HIV-Associated…
Walioiba ndege Tausi Ikulu Dar wahukumiwa, Wapewa masharti mazito ya kuishi kwa miezi 6
Habari
October 31, 2019 - 10:24 am
Walioiba ndege Tausi Ikulu Dar wahukumiwa, Wapewa masharti mazito ya kuishi kwa miezi 6
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Imewahukumu watu watatu kulipa fidia ya Tsh. Milioni 6.8 na kuwaachia huru watu hao, Baada…
Harmonize kesho kuitikisa Dar, Atapiga show na wasanii 11 kiingilio bure (+Video)
Burudani
October 30, 2019 - 9:00 pm
Harmonize kesho kuitikisa Dar, Atapiga show na wasanii 11 kiingilio bure (+Video)
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize kesho Alhamisi Oktoba 31, 2019 atawaburudisha mashabiki wake na watu wanaopenda muziki wa…
KIMENUKA: Alikiba amjibu Diamond kwa ghadhabu kisa mwaliko wa Wasafi Festival “Nikuweke uchi watu wajue unayonifanyia?”
Burudani
October 30, 2019 - 5:08 pm
KIMENUKA: Alikiba amjibu Diamond kwa ghadhabu kisa mwaliko wa Wasafi Festival “Nikuweke uchi watu wajue unayonifanyia?”
Baada ya msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kutangaza kuwa Meneja wake, Babu Tale ameshafanya mawasiliano na Alikiba…
RC Makonda amtaka Idris Sultan ajisalimishe polisi kwa kumu-edit Rais Magufuli, Waziri Kigwangalla apinga amri hiyo ‘Nitamuwekea dhamana na kumtetea’
Habari
October 30, 2019 - 2:47 pm
RC Makonda amtaka Idris Sultan ajisalimishe polisi kwa kumu-edit Rais Magufuli, Waziri Kigwangalla apinga amri hiyo ‘Nitamuwekea dhamana na kumtetea’
Mchekeshaji na Muigizaji wa Filamu hapa Tanzania, Idris Sultan amejikuta katika wakati mgumu baada ya kuposti picha zilizohaririwa (Editing) zikiwa…
Wasafi Festival kutikisa Dar, Diamond amualika Harmonize na Alikiba ‘Show itaanza saa 1;00 asubuhi, Napenda tuifanyie Taifa’
Burudani
October 30, 2019 - 2:01 pm
Wasafi Festival kutikisa Dar, Diamond amualika Harmonize na Alikiba ‘Show itaanza saa 1;00 asubuhi, Napenda tuifanyie Taifa’
Vuguvugu la Wasafi Festival 2019 limehamia Dar Es Salaam ambapo Mkurugenzi mkuu wa WCB na mwanamuziki Diamond Platnumz amesema tamasha…
TUNDURU: Wanafunzi 100 wakatisha masomo kwa ujauzito wengine 350 hawajulikani walipo, DC Mtatiro aja na mwarubaini
Habari
October 30, 2019 - 12:09 pm
TUNDURU: Wanafunzi 100 wakatisha masomo kwa ujauzito wengine 350 hawajulikani walipo, DC Mtatiro aja na mwarubaini
Zaidi ya wanafunzi 100 wa kike wa shule mbalimbali za sekondari wilayani Tunduru, mkoa wa Ruvuma, wameacha masomo baada ya…
AFYA: Fahamu aina za Kansa/Saratani, Dalili na tiba zake, Inatajwa kuwa moja ya magonjwa hatari zaidi duniani
Afya
October 30, 2019 - 10:44 am
AFYA: Fahamu aina za Kansa/Saratani, Dalili na tiba zake, Inatajwa kuwa moja ya magonjwa hatari zaidi duniani
Kansa au Saratani ni neno lililotolewa kwenye kundi la magonjwa yanayosabahiana. Kuna aina tofauti zaidi ya 100 ya magonjwa yanayoitwa…