Video: Timbulo – Mshumaa
Videos
July 4, 2017 - 11:03 pm
Video: Timbulo – Mshumaa
Msanii Timbulo ameachia video yake mpya wimbo unaitwa ‘Mshumaa’, Video imeongozwa na Dr. Eddie.
Music: Barnaba – Tunafanana
Muziki
July 4, 2017 - 10:56 pm
Music: Barnaba – Tunafanana
Msanii Barnaba baada ya kufanya vizuri na ngoma ya ‘Love Boy’ ameachia huu wimbo mpya unaitwa ‘Tunafanana’, Producer Dee Classic…
Music: Mr Blue Ft. JR – Siwezi
Muziki
July 1, 2017 - 12:11 pm
Music: Mr Blue Ft. JR – Siwezi
Msanii wa muziki wa hip hop, Mr Blue ameachia wimbo mpya unaitwa ‘Siwezi;, amemshirikisha JR, Producer Man Walter.
Video: Y tony – Safina
Videos
July 1, 2017 - 12:00 pm
Video: Y tony – Safina
Msanii Y Tony ameachia video yake mpya ya wimbo ‘Safina’, video imeongozwa na Ivan.
Music: Mwasiti Ft Barakah The Prince – Mapenzi Ugonjwa
Muziki
July 1, 2017 - 11:22 am
Music: Mwasiti Ft Barakah The Prince – Mapenzi Ugonjwa
Msanii Mwasiti ameachia wimbo mpya unaitwa ‘Mapenzi Ugonjwa’, amemshirikisha Barakah The Prince.
Video: Angel Benard – Siteketei
Videos
July 1, 2017 - 11:13 am
Video: Angel Benard – Siteketei
Msanii wa gospel kutoka Tanzania, Angel Benard ameachia video yake mpya ya wimbo ‘Siteketei’, video imeongozwa na kampuni ya Kwetu…
Video: Lameck Ditto – Atabadilika
Videos
July 1, 2017 - 10:50 am
Video: Lameck Ditto – Atabadilika
Mwanamuzi Lameck Ditto ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Atabadilika’, video imeongozwa na Kwetu Studio.
Video: Amini – Yamoyoni
Videos
June 27, 2017 - 11:20 am
Video: Amini – Yamoyoni
Msanii wa Muziki wa bongo fleva, Amini ameachia video mpya ya wimbo unaitwa ‘Yamoyoni’, angalia hapa chini alafu toa koment…
Video: Lulu Diva – Utamu
Videos
June 24, 2017 - 8:53 am
Video: Lulu Diva – Utamu
Msanii Lulu Diva baada yakufanya vizuri na ngoma yake ya ‘Usimwache’, ameachia video mpya ya wimbo ‘Utamu’, tazama hapa chini…
Video: Voice Saler – Mzuka
Videos
June 24, 2017 - 8:47 am
Video: Voice Saler – Mzuka
Kundi jipya linaitwa Voice Saler ambalo lina fanya muziki wa singeli wameachia video mpya wimbo unaitwa ‘Mzuka’, angalia hapa chini…
Music: Galatone – Nawee
Muziki
June 23, 2017 - 3:19 pm
Music: Galatone – Nawee
Msanii Galatone baada ya kuwa kimya kidogo amerudi na huu wimbo mpya unaitwa ‘Nawee’, Producer Christone & D Touch.
Music: Walter Chilambo – Namba Moja
Muziki
June 23, 2017 - 3:01 pm
Music: Walter Chilambo – Namba Moja
Mshindi wa shindano la kusaka vipaji la BSS 2012, Walter Chilambo, ambaye saivi anafanya Muziki wa gospel, ameachia wimbo unaitwa…
Video: Moni Centrozone – Tunaishi Nao
Videos
June 23, 2017 - 2:50 pm
Video: Moni Centrozone – Tunaishi Nao
Msanii Moni Centrozone kutoka Dodoma ameachia video mpya wimbo unaitwa ‘Tunaishi Nao’, video imeongozwa na Nicklass. https://youtu.be/lWiuU1wcADM
Music: Lulu Diva – Utamu
Muziki
June 23, 2017 - 2:31 pm
Music: Lulu Diva – Utamu
Baada ya kuachia ‘Usimwache’, Lulu Diva amekuja na ngoma mpya iitwayo ‘Utamu’ ambao unazungumzia mapenzi. Muziki umetaarishwa na Producer Abby…
Music: Kayumba – Msela
Muziki
June 23, 2017 - 2:14 pm
Music: Kayumba – Msela
Mshindi wa BSS 2015, Kayumba Juma ameachia wimbo wake mpya unaitwa ‘Msela’, Producer Hunter.