Picha: Chris Brown adaiwa kuwa na mahusiano na mrembo huyu wa Indonesia
Burudani

Picha: Chris Brown adaiwa kuwa na mahusiano na mrembo huyu wa Indonesia

Chris Brown na msanii Agnes Monica Muljoto maarufu kama Agnez Mo kutoka nchini Indonesia, wazidi kuwachanganya mashabiki. Hivi karibuni wawili…
Rasmi: Lady Jaydee apata lebo mpya kutoka Kenya
Burudani

Rasmi: Lady Jaydee apata lebo mpya kutoka Kenya

Hatimaye imethibitishwa kuwa malkia wa muziki wa Bongo Flava, Lady Jaydee amesaini makataba na kampuni mpya ya Taurus Musik ambayo…
Prince Harry na Meghan Markle wavalishana pete, ndoa kufungwa mwakani
Burudani

Prince Harry na Meghan Markle wavalishana pete, ndoa kufungwa mwakani

Maisha ya uhusiano ya Prince Harry wa Uingereza na mpenzi wake Meghan Markle yamekuwa yakifuatiliwa kwa muda. Wawili hao wamedaiwa…
Majibu ya mashabiki kuhusu Nicki Minaj kuachia albamu au kujifungua mtoto
Burudani

Majibu ya mashabiki kuhusu Nicki Minaj kuachia albamu au kujifungua mtoto

Rapper Nicki Minaj amewashangaza mashabiki wake kwa kuwauliza ni kipi ambacho wanakihitaji kutoka kwake kwa sasa kati ya albamu au…
Picha: Mrembo wa Afrika Kusini atwaa taji la Miss Universe 2017
Mitindo

Picha: Mrembo wa Afrika Kusini atwaa taji la Miss Universe 2017

Ni furaha kubwa kusikia nchi yenu imefanikiwa kuzibwaga nchi nyingine katika mashindano ya dunia. Shangwe limetawala nchini Afrika Kusini baada…
Video: Walter Chilambo – Kuna Jambo
Videos

Video: Walter Chilambo – Kuna Jambo

Msanii Walter Chilambo ameachia video yake mpya ya wimbo uitwao ‘Kuna Jambo’. Wimbo huo umetayarishwa na maprodyuza wawili ambao ni…
Picha: Kevin Hart na mkewe Eniko Parrish waonyesha sura ya mtoto wao kwa mara ya kwanza
Burudani

Picha: Kevin Hart na mkewe Eniko Parrish waonyesha sura ya mtoto wao kwa mara ya kwanza

Mchekeshaji maarufu Kevin Hart na mkewe Eniko Parrish wameionyesha sura ya mtoto wao kwa mara ya kwanza. Kevin Hart akiwa…
Miley Cyrus awaacha njia panda waliodai ni mjamzito
Burudani

Miley Cyrus awaacha njia panda waliodai ni mjamzito

Msanii kutoka Marekani, Miley Cyrus amewajibu watu ambao ambao wamemtabiri kuwa ni mjamzito. Mrembo huyo ambaye Alhamisi hii ilikuwa ni…
Lady Jaydee apata uongozi mpya baada ya kutemana na Seven Mosha
Burudani

Lady Jaydee apata uongozi mpya baada ya kutemana na Seven Mosha

Malkia wa muziki wa Bongo Flava, Lady Jaydee amefanikiwa kupata uongozi mpya ambao utasimamia kazi zake za muziki baada ya…
Robinho apigwa mvua 9 jela kwa ubakaji
Michezo

Robinho apigwa mvua 9 jela kwa ubakaji

Mshambuliaji wa zamani wa Real Madrid na Manchester City, Robinho, amehukumiwa kifungo cha miaka tisa jela. Mchezaji huyo ambaye ni…
Muziki ya Darassa ilivyoteka ufalme wa Bongo Flava ndani ya mwaka mmoja
Burudani

Muziki ya Darassa ilivyoteka ufalme wa Bongo Flava ndani ya mwaka mmoja

Novemba 23 ya mwaka 2016 ilikuwa ni siku ambayo Darassa aliweza kupata tobo kupitia ngoma yake ya ‘Muziki’. Hakika wimbo…
Huddah Monroe amkingia kifua mtoto wa Mugabe
Burudani

Huddah Monroe amkingia kifua mtoto wa Mugabe

Kuna nini kati ya mtoto wa aliyekuwa Rais wa kwanza wa Zimbabwe, Chatunga Bellarmine Mugabe na Huddah Monroe. Mrembo huyo…
Picha: Eniko Parrish wa Kevin Hart atoka hospitali baada ya kujifungua salama
Burudani

Picha: Eniko Parrish wa Kevin Hart atoka hospitali baada ya kujifungua salama

Eniko Parrish ambaye ni mke wa Kevin Hart ameruhusiwa kutoka hospitalini baada ya kujifufungua Jumanne hii. Hart amethibitisha hilo kupitia…
Spika wa Bunge aweka wazi siku ya kuapishwa Rais mpya Zimbabwe
Habari

Spika wa Bunge aweka wazi siku ya kuapishwa Rais mpya Zimbabwe

Baada ya Spika wa Bunge la nchini Zimbabwe, Jacob Mudenda Jumanne hii kutangaza kujiuzulu kwa Rais Robert Gabriel Mugabe, ameweka…
New Music: Miracle f/ Godzilla – Ups & Downs
Muziki

New Music: Miracle f/ Godzilla – Ups & Downs

Msanii Miracle kutoka DDC, ameachia wimbo wake mpya uitwao ‘Ups & Downs’ ambao amemshirikisha rapper Godzilla. Wimbo umetayarishwa na Bin…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents