Burudani

Baada ya kushusha mapato Snapchat, Kylie Jenner akuza mapato Facebook

Ukihitaji kufanya biashara basi hakikisha biashara yako haiwezi kuwakwaza watu wenye ushawishi, hili litakuwa pigo la kuanzia mwaka kwa kampuni ya Snapchat baada ya kushuka kimapato baada ya mrembo Kylie Jenner kutaoka famila ya Kardashian kuukosoa mtandao wa Snapchat.

Kufuatia tweet ya Kylie iliyopeleka kushusha mapati ya mtandao wa Snap kwa asilimia 6.1% sawa na thamaani ya dola bilioni 1.3 na kupelekea majonzi huku wenzo wa Facebook wakitoa kicheko kwa mapato yao kupanda kwa kasi zaidi.

Snap Inc. market value:

Feb. 21 – $22.78B (The day Kylie tweeted)

Feb. 22 – $21.40B

Feb. 23 – $21.41B

Facebook’s market value:

Feb. 21 – $516.83B

Feb. 22 – $519.97B

Feb. 23 – $532.86B

Huwenda Kylie  hakutarajia tweet yake ya maneno 18 ingeweza kuitia dosari kampuni ya Snapchat.

Chanzo: TMZ

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents