Burudani ya Michezo Live

BABATI: Wananchi wafyeka pori linalodaiwa kutumika kuwalawiti wanafunzi wa shule za msingi – Video

BABATI: Wananchi wafyeka pori linalodaiwa kutumika kuwalawiti wanafunzi wa shule za msingi - Video

Wakazi wa kata ya Maisaka wilayani Babati mkoani Manyara wameamua kufyeka pori ambalo lilitumika kufanyika vitendo vya ulawiti kwa wanafunzi wawili wa shule ya msingi wiki iliyopita.

Wakiongea wananchi hao wameeleza hasa sababu zilizopeleka wao kuchukua uamuzi huo wa kufyeka pori hilo.

Mbali na hilo pia wameomba kutolewa elimu kwa watoto kuwa wasipite njia za uchochoroni ambazo zitakuwa na madhara kwao wananchi hao pia wameongeza kuwa matukio kama hayo ya watoto kulawiti yamekuwa mengi sana na kilichofanya kuchukua uamuzi huo baada ya matukio kuzidi na kufikia karibia matukio 8.

Chanzo Azam tv.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW