Habari

Babu Tale, Mkubwa Fella wote waongea walichojadiliana na BASATA kuhusu mkataba wa Rich Mavoko na WCB (+VIDEO)

Baada ya kuitikia wito wa kuitwa na Baraza la Sanaa Taifa (BASATA). Mameneja wa Diamond Platnumz ambao ni miongoni mwa viongozi wa WCB, Babu Tale na Mkubwa Fella wameeleza baadhi ya vitu walivyofanikiwa kuongea na baraza hilo.

 

Related Articles

2 Comments

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents