Aisee DSTV!

Barakah The Prince awajibu mashabiki wanaodai kuwa ana kiburi ‘sisomagi komenti zao na wananikosea’ (+video)

Msanii wa muziki nchini Tanzania, Barakah The Prince amedai kuwa yeye sio mfuatiliaji mzuri wa comments za mashabiki wake kwenye mitandao ya kijamii na kuhusu madai ya kuwa ana kiburi ameeleza kuwa wanamkosea sana Mwenyezi Mungu kwani wanaamini vitu ambavyo hawaambiwa bila kuthibitisha.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW