Burudani ya Michezo Live

Basi la Abood lapata ajali Mwanza, Chanzo chelezwa ni mwendesha pikipiki

Basi la Abood lapata ajali Mwanza, Chanzo chelezwa ni mwendesha pikipiki

Basi la Kampuni ya Abood Bus Service linalofanya safari zake kati ya Dar na Mwanza limepata ajali mapema leo asubuhi maeneo ya Mkolani.


Inadaiwa chanzo cha ajali hiyo ni mwendesha pikipiki kuingia barabarani bila ya tahadhari hivyo kusababisha dereva wa basi kupoteza uelekeo.


Katika ajali hiyo taarifa za awali zinasema kuna kifo cha mtu mmoja ambaye ni dereva wa pikipiki huku watu kadhaa wakijeruhiwa

Chanzo Mwananchi.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW