Burudani

Blac Chyna: Kim kuwa na mtoto ni baraka

Uwifi haufi hata kama wawili waliowahi kupendeza wakiachana! Black Chyna amempongeza aliyekuwa wifi yake Kim Kardashian na mumewe Kanye West kwa kufanikiwa kupata mtoto wao watatu.

Chyna aliyewahi kuingia katika mahusiano na kijana kutoka familia ya Kardashiana amempongeza Kim kwa kusema “It’s always a blessing. They deserve blessings,” hii ni baada ya kuulizwa na mpiga picha aliyekuwa akimviziya mrembo huyo atoke ndani kwake.

Kim na Kanye wamefanikiwa kupata mtoto huyo mapema wiki hii baada ya aliyekuwa akikubeba mimba hiyo kujifungua, hata hivyo kumekuwa na minang’ono kuwa mtu huyo aliyekuwa akibeba mimba ya Kim ni nduguye Kylie.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents