Aisee DSTV!

BREAKING: Waziri Mkuu wa Uingereza, Bi. Theresa May atangaza kujiuzulu, Mpango wa ‘Brexit’ wamtokea puani

Waziri Mkuu wa Uingereza, Bi. Theresa May ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo, ifikapo Juni 7, mwaka huu. Huku chanzo kikubwa kikitajwa kuwa ni mvutano wa mkataba wa Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya (Brexit).

Theresa May

 

May amehudumu nafasi hiyo kwa miaka mitatu, tangu achukue nafasi ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Taifa hilo, David Cameron.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW