Burudani

Cardi B na Offset warudisha penzi lao kwa mbwembwe

Rapa Cardi B na mpenzi wake, OffSet wameendelea kuwachoma roho watu waliokuwa wanafurahia kuvunjika kwa penzi lao mwishoni mwa mwaka jana.

Image result for cardi b vs offset KISSING
OffSet na Cardi B

Kwa mujibu wa mtandao wa Too Fab, Cardi B na OffSet kwa sasa wapo mjini Atlanta kutambulishwa kwa wazazi wa Cardi B .

Mtandao wa TMZ, umeelezea kuwa wawili hao kwa sasa wamebadilisha namba zao za simu.

Vyanzo vya watu wa karibu vilivyoongea na mtandao wa TMZ, vimeeleza kuwa wawili hao kwa sasa wanatumia namba ngeni kwa lengo la kuzuia mawasiliano na marafiki wa zamani.

Wawili hao, ambao wamefanikiwa kupata mtoto mmoja aitwaye Kulture, walifunga ndoa mwaka jana na baadae mwaka huo huo walizinguana baada ya OffSet kumchepuka mwenzie.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents