Burudani

Chin Bees afunguka ishu ya cover ya album yake kufanana na cover ya ‘A Boy From Tandale’ ya Diamond (+video)

Kama wewe ni mfuatiliaji wa muziki wa Bongo Fleva ukiangalia kwa makini utaona Cover ya album ya ‘LADHA’ ya Chin Bees imefanana kawa kiasi kikubwa na cover ya ‘A Boy From Tandale’ ya Diamond Platnumz.


Sasa Chin Bees amefunguka kwa mara ya kwanza kupitia Bongo5 kuhusu kufanana huko kwa cover za album mbili ambapo amesema yeye hakujua chochote kwani alihitaji picha ya nyoka kwenye cover yake lakini mwisho wa siku alishangaa kuona cover imewekwa picha yake.

Album ya A Boy From Tandale ya Diamond Platnumz imeachiwa rasmi mtandaoni Machi 14, 2018 huku Chin Bees album yake ya Ladha ambayo alitoa bure kwa mashabiki wake imeachiwa siku mbili mbele Machi 18, 2018.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents