Burudani ya Michezo Live

Dar: Majambazi 7 wauawa na Polisi wakati wakielekea kuvamia ofisi za GS Limited – Video

Jeshi la polisi kanda maalum ya Dar es Salaam limewauwa kwa kuwapiga risasi watu saba wanaoshukiwa ni majambazo katika eneo la Mwenge, Cocacola.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi, Lazaro Mambosasa, watu hao walikuwa wakitaka kufanya uhalifu kwenye ghala la GS Limited. kwa bahati mbaya majambazi hao majina yao hayakuweza kufahamika.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW