Burudani

DIAMOND: P Square walitutesa sana jukwaani lakini sasa hivi zamu yetu Tanzania, wao wanatutazama sisi (+Video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @diamondplatnumz amesema kuwa likija katika suala la Performance Tanzania sasa hivi ndio nambari moja ila zamani wasanii kutoka Nigeria walitesa sana.

Akiongea hayo amewayolea mfano wasanii kama P SQUARE na kusema walikuwa ndio watu wanawaangalia katika performance kuwa ndio walikuwa wanaongoza lakini siku za hivi karibuni Tanzania ikmekuwa kinara jukwaani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents