Burudani

Diamond Platnumz awapa onyo watoto wake wa kiume

Msanii wa muziki Diamond Platnumz ametoa onyo kali kwa vijana wake wa kiume Nilan na Daylan kwa kuwata asiwaletee wakwe vijuso.

Diamond katoa rai hiyo kwa watoto wake hao  ambao amezaa na wanawake  wawili tofauti ambao ni Zarina Hassan maarufu kama Zari The Boss Lady, na Daylan (AbdulLatif) aliyezaa na mwanamitindo Hamisa Mobetto kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram.

https://www.instagram.com/p/Bff-3rqH7ta/?taken-by=diamondplatnumz

Ikiwa bado siku moja iwe siku ya Wapenda( Valentine Day) Diamond na Hamisa walifikia makubaliano ya kumlea na kumuhuduamia mtoto wao wa kiume Dalyna, huku siku ya  Valentine iligeuka mbawa kwa Diamond baada ya kumwaga rasmi na Zari The Boss Lady chanzo kikwa ni kutokuwa muwaminifu katika mapenzi yao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents