Diamond uso kwa uso na Harmonize, washindwa kusalimiana (+Video)

Leo mapema katika makao ya bodi ya utalii ambapo Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. @hamisi_kigwangalla alikuwa anapokea logo ya Travel Safe ambayo Tanzania imetunukiwa.

Katika tukio hilo wasanii @diamondplatnumz na @harmonize_tz walikuwa miongoni mwa wasanii walioalikwa katika tukio hilo.

Hii ndio ilikuwa kauli ya Wazir Kigwangalla:- “Hii nembo tuliyopewa ya kutambuliwa ni heshima ambayo kimsingi kapewa Rais wetu Magufuli kwa uongozi thabiti, kama tungechelewa kufungua Sekta hii (Utalii) au tungechelewa kurejesha maisha yetu katika hali ya kawaida, Watu wasingekufa kwa corona, wangekufa kwa njaa, Vijana wangeshindwa kuoana, Watu wangebaki na ndevu zao hakuna Mtu angeenda saluni”

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW