Burudani

Drake adondosha ngoma mbili kupitia mixtape yake mpya

Rapper Drake, usiku wa kuamkia leo amechia Mixtape yake iitwayo ‘Scary Hours’ ambapo ndani yake kuna ngoma mpya ziitwazo ‘God’s Plan” na ‘Diplomatic Immunity’.

Ngoma ya “God’s Plan,” iliyopo katika mixtape ya rapper huyo kutoka Toronto imetayarishwa na Noah Shebib, Cardo, pamoja, finds Drizzy na Boi-1da ambaye pia ametayarisha ngoma ya a ‘Diplomatic Immunity’ akishirikiana na Nick Brongers.

Siku chache zilizopita rapper huyo pia alitangaza kuachia documentary ya maisha yake iitwayo ‘Toronto to Houston’, inayotarajiwa kutoka Mwezi wa nane mwaka huu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents