Aisee DSTV!

Ed Sheeran awakutanisha 50 Cent na Eminem kwenye ngoma ya ‘Remember The Name’, Adai ametimiza ndoto yake ya album ya ‘No.6 Collaborations Project’

Msanii maarufu wa muziki kutoka Uingereza, Ed Sheeran ameachia kolabo yake ya ndoto ya ‘Remember The Name’  aliyowashirikisha magwiji wawili wa muziki wa Hip Hop duniani, 50 Cent na Eminem.

Ed Sheeran ameachia kolabo hiyo sambamba na album yake ya nne ya No.6 Collaborations Project, ambayo ina jumla ya nyimbo 15. Unaweza kusikiliza Album yote hapa chini kwenye link.

https://lnk.to/No6CollaborationsProject?ref=https%3A//www.youtube.com/

Mwaka jana wakati akihojiwa na TMZ, Ed Sheeran alidokezea kolabo hiyo kwa kumtaja Eminem na 50 Cent kama moja ya ma-rapper ambao huwa anatumia muda mwingi kuwasikiliza na kuahidi kuwa atafanya nao kitu.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW