Soka saa 24!

Fahamu orodha ya simu 30 ambazo mwaka huu 2019 WhatsApp haitafanya kazi

Ikiwa ndio mwanzoni mwa mwaka 2019, WhatsApp wametangaza kuacha kufanya kazi kwenye baadhi ya matoleo ya simu za zamani.

Image result for whatsapp stop to work

Mabadiliko hayo sio jambo jipya, kwani mwaka jana walitangaza kufanya mabadiliko hayo.

Kwa mujibu wa tovuti ya wired.com, ifuatayo ndio list ya simu kwa mwaka huu 2019, ambazo hazitakuwa na uwezo wa kufanya kazi na programu ya WhatsApp kuanzia Jana Januari 01, 2019.

Nokia 206 Single SIM,

Nokia 206 Dual SIM,

Nokia 208,

Nokia 301 Single SIM Chat Edition,

Nokia 301 Dual SIM Chat Edition,

Nokia 515, Nokia Asha 201,

Nokia Asha 205 Chat Edition,

Nokia Asha 210,

Nokia Asha 230 Single SIM,

Nokia Asha 230 Dual SIM.

Nokia Asha 300,

Nokia Asha 302,

Nokia Asha 303,

Nokia Asha 305,

Nokia Asha 306,

Nokia Asha 308,

Nokia Asha 309,

Nokia Asha 310,

Nokia Asha 311,

Nokia Asha 500,

Nokia Asha 501,

Nokia Asha 502,

Nokia Asha 503,

Nokia C3-00,

Nokia C3-01,

Nokia X2-00,

Nokia X2-01,

Nokia X3-02,

Nokia X3-02.5

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW