Habari
Hapa ndipo atakapozikwa Mzee Majuto, pamezunguukwa na nyumba na Msikiti wake (+video)
Tazama video ya eneo ambalo mwili wa marehemu Mzee Majuto utazikwa leo Agosti 10 huko mkoani Tanga katika mashamba yake.
Tazama video ya eneo ambalo mwili wa marehemu Mzee Majuto utazikwa leo Agosti 10 huko mkoani Tanga katika mashamba yake.
Ndokwake hapo sasa
Mungu ape kauli sabit
Msikiti sio wake ni wa Allah
mola mpe kaul thabit mzee we2
Mungu kaumba uhai na kifo kwetu sisi binadam kama mtihani…Allah akupokee mzee wetu..
MUNGU aliaze peponi,majuto,amina