Burudani

Kampeni ya kuondoa msongo wa mawanzo yaanzishwa na mke wa Chester Benningtons

By  | 

Mke wa msanii marehemu Chester Benningtons, Tilinda ameamua ameanzisha kampeni ya kuhamashisha watu wanaondokana na msongo wa mawazo ilikujinusuru na kifo.

Tilinda amefanya hivyo ikiwa ni miezi kadhaa tangu mumuwe alipodaiwa kujiua mwenyewe kwa kujinyonga katika nyumba yake maeneo ya Palos Verdes Estates mjini Los Angles kitokana na msongo wa mawazo aliokuwa na na kupelekea kuhisi ananyanyashwa.

“This was days b4 my husband took his own life. Suicidal thoughts were there,but you’d. Never kmow. #fuckdepression,” ameandika Talinda Bennington‏ baada ya kuweka picha hiyo hapo juu katika mtandao wa Twitter.

Chester Benningtons alikuwa moja ya  muziki wa kundi la  Linkin Park, alifariki akiwa na umri wa miaka 41 na ameacha watoto sita aliokuwa amezaa na wanawake wawili tofauti.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments