Burudani

Hamisa Mobetto aachia video ya wimbo wake mpya ‘Tunaendana’, acheza na anayedaiwa kuwa mume wake mpya

Kwa wiki mbili mfululizo mwanamitindo Hamisa Mobetto alikuwa anaposti picha kwenye mitandao ya kijamii zikimuonesha akiwa na mwanaume nchini Marekani huku akieleza kuwa huyo ndiye nyongo wake mkalia Ini, ukweli ni kwamba hakuna mapenzi kwani ilikuwa ni kiki tu ya kuachia wimbo huo ambao amecheza na mwanaume huyo kama Video King.

 

Kwenye video hiyo, Hamisa anaonekana karibia kila eneo akiwa na mcheza kikapu huyo, huku eneo kubwa la picha alizoposti mitandaoni zikionekana kwenye video hiyo ambayo mpaka sasa ina lisaa limoja tangu iwekwe mtandaoni na tayari imetazamwa mara 10k.

Hili ni jibu tosha kuwa picha zote za Mobetto na mwanaume huyo ilikuwa ni kiki ya video ya wimbo huu, ambao video imeongozwa na GRR Pro.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents