BurudaniUncategorized

Kylie Jenner ashusha mapato ya mtandao wa Snapchat

Huwenda watu wengi walikuwa wakiongea ila sauti zao hazikusikika, Basi mwanadada Kylie Jenner kutoka Familia ya Kardashin amekuwa mmoja ya watu waliopaza sauti zao kuukosoa mtandao wa kijamii wa Snapchat.

Kylie ameukusoa mtandao huo hapo jana kupitia mtandao wa Twitter kutokana na mfumo wake uliopo kwa sasa kwani unasadikika kuwa mgumu na kufanya watu washindwe kuutumia vyema kama hapo awali.

Mtandao wa Snapchat umekuwa ukiongezeka watumia kila siku hata hivyo mapema wiki hii mwanzilishi wa mtandao huo aliweka bayana hali ilivyo katika mtandao huo.


Kufuatia ukosoaji huo wa Kylie amabye anawatu milioni kadhaa wamamfuatilia kumeweza kupelekea hisa za mtandao wa Snapchat kushuka kwa asilimia 6.1% sawa na thamaani ya dola bilioni 1.3

“While the recent redesign of its flagship app could produce positive long-term benefits, the significant jump in negative app reviews since the redesign was pushed out a few weeks could result in a decline in users and user engagement, which could negatively impact financial results,” ameeandika Citi’s Mark May.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents