Habari
Majina na Codes za washiriki wa Tuzo Za Watu 2015. Piga Kura Sasa!
Piga kura kwa SMS kutumia codes za washiriki kama ilivyoainishwa kwenye picha Pia unaweza kupiga kura kupitia mtandao wetu wa www.tuzozetu.com.
Piga kura kwa wingi upate nafasi ya kushinda zawadi mbalimbali kutoka kwa wadhamini wetu, zikiwemo ticket ya safari za ndege za ndani na nje ya nchi kutoka Fastjet!