Burudani ya Michezo Live

Makonda ampa makavu Zitto, Umechaguliwa Kigoma unakuja kuongelea Dar inakuhusu nini (+ Video)

“Natumia fursa hii kumwagiza Zitto Kabwe nizunguke nae kwenye hii ziara nimuonyeshe mambo aliyofanya Rais Magufuli, Wewe umechaguliwa Kigoma, unakuja kuongelea Dar inakuhusu nini?

Hivi Kigopma kwe;ie kwenye jimbo lako shida zimeisha, Katatue matatizo ya watu wa kigoma umevuka mikoa yote hii unakuja kutafuta umaarufu Dar.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW