Habari

Mchungaji TD Jakes kutoka Marekani azua gumzo Kenya, kupata nae chakula inakugharimu zaidi ya mil 1.7 za Kitanzania

Mchungaji TD Jakes kutoka Marekani azua gumzo Kenya, kupata nae chakula inakugharimu kulipia zaidi ya mil 1.7 za Kitanzania

Gharama za kupata chakula cha usiku na askofu wa marekani TD Jakes zawa gumzo Kenya. Askofu huyo ambaye jina lake halisi ni Thomas Dexter Jakes atakua katika mkutano mkuu wa viongozi na wafanyabiashara utakaofanyika eneo la Kasarani jijini Nairobi mwezi ujao.


Ili kuingia eneo hilo utapaswa kulipia kiasi cha Dola 750 za kimarekani sawa na elfu sabini na tano za kenya ili tu waweze kuwa eneo moja na Askofu huyo.


Hata hivyo limeibuka gumzo mtandaoni kuhusu watu kulipa pesa ili kupata mlo na mchungaji huyo mwenye umaarufu mkubwa duniani. “Mchungaji abaki kuwa mchungaji jamani”, pesa yote hiyo kulikoni? moja ya maoni mtandaoni.

Chanzo BBC.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents