Habari

Mhe. Ngeleja, Nape Nnauye, Juma Nkamia wateuliwa

Mbunge wa jimbo la Sengerema kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe. Wiliam Ngeleja ameteuliwa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai kuwa Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii kwenye kamati ya kudumu ya Bunge ya kipindi cha 2018 hadi 2020.

Tokeo la picha la wiliam ngeleja
Mhe. Wiliam Ngeleja

 

 

Wabunge wengine waliyoteuliwa kwenye kamati hiyo ni Mhe. Nape Nnauye mbunge wa Mtama, Andrew Chenge, Hawa Ghasia na wengineo,soma zaidi kwenye orodha ya wabunge wote waliyoteuliwa kwenye kamati hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents