Habari

Mhe. Sugu atangaza dau nono la Mil. 1 kwa Mtanzania yeyote atakayemfanikishia jambo hili

Mbunge wa Mbeya Mjini, Mhe. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu ametangaza dau la Tsh MilioniĀ  1 kwa mtu yeyote atakayempatia picha yake akiwa amevalia sare za Gerezani kipindi alivyokuwa amefungwa.

Related image
Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu

Sugu ametoa tangazo hilo kwenye ukurasa wake wa Instagram, ambapo ameeleza kuwa lengo kubwa la picha hiyo ni kutumika kama Cover ya kitabu chake kipya cha ‘SIASA NA MAISHA’ .

https://www.instagram.com/p/BpHtpCcBkLh/?taken-by=mh_sugu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents