Burudani

Moja ya vitu vinavyoonyesha kukua kwa muziki wa Bongo Fleva, wimbo wa Vanessa Mdee watumiwa katika moja ya mchezo ligi ya Kikapu Marekani NBA (+ Video)

Katika vitu vinaoonyesha kukua kwa muziki wa Bongo Fleva ni pamoja na nyimbo zetu kupigwa na kutumia katika matamasha na hata shughuli mbalimbali hasa nje ya Tanzania.

Miongoni mwa wasanii ambao nyimbo zao zinachezwa sana nje ya nchi na hasa katika bara la Ulaya na Marekani ni pamoja na Diamond Platnumz, Alikiba, Harmonize na Vanessa Mdee, na sio katika mabara hayo tu katika bara la Afrika ndio miongoni mwa wasanii ambao nyimbo zao zimekuwa kubwa sana. Katika tukio ambalo limemfanya msanii Vanessa Mdee kufurahia ni pale aliposikia wimbo wake ukichezwa katika moja ya tukio la mchezo wa NBA.

Wimbo huo wa Vanessa unaitwa “Thats for me” aliyowashirikisha DISTRUCTION BOYZ, DJ Tira, Prince Bulo.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents