Habari

Msemaji mkuu wa Serikali :Mapato ya Serikali yameongezeka kutoka TZS Bilioni 850 mwaka 2015 hadi tr 1.9 mwaka 2020 (+Video)

Mapato ya Serikali yameongezeka kutoka wastani wa TZS Bilioni 850 kwa mwaka 2015, TZS Trilioni 1.3 mwaka 2016 hadi 2018/19 na Julai 2019, hadi Juni 2020 tumefikia wastani mpya wa TZS Trilioni 1.5 (ambapo Desemba 2019 na Juni 2020 tumekusanya TZS Trilioni 1.9)

https://www.youtube.com/watch?v=1Dn7pWA8OB4

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents