Habari

Mzazi mwenza na Masogange anena mazito mbele ya mtoto wao (+video)

Mzazi mwenza na Agness Masogange amefunguka kwa mara ya kwanza mahusiano yake na marehemu, ambapo amesema kuwa mara ya mwisho kuwasiliana ni wiki iliyopita ambapo alimwambia kuwa hali yake ni Mbaya.

Akizungumza na Bongo5, Mzazi huyo amesema anawashukuru Watanzania waliojitolea kumsomesha mtoto wake kwani wamempunguzia majukumu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents