Burudani

Nicki Minaj na Nas ni kiki au penzi?

Mara nyingi tumezoea kwa Bongo endapo msanii anataka kuachia ngoma yake mpya basi lazima afanye jambo fulani lisilo la kawaida(kiki) iliaweze kuteka mashabiki.

Ni takribani muda sasa rapper Nas na Nicki Minaj wamedaiwa kuwa ni wapenzi ila bado hakujawa na uthibitisho wakutosha licha ya kuwa  karibu zaidi. Kwa mujibu wa picha inavyoonyesha  wawili hao wamekutwa wakafanya photoshoot ambazo zimedaia kuwa ni muendelezo wa kusherehekea birthday ya rapper huyo japo inaelezwa kuwa picha hizo ni zautengenezaji wa video mpya ya kwake.

Kwa mujibu wa rapper Nas ameonyesha kumshukuru director anayehusika kwa sasa kutengeneza video yake mpya ya muziki inayotarajiwa kutoka hivi karibuni.

“Big thanks to @iamwillcastro and team unique for lacing out my 88 benz, We filmed the whole process it’s coming soon on #UniqueRides @velocity.” ameandika Nas.

Ni muda sasa rapper Nas amekuwa akimuita Nick ‘Queens ‘ na mrembo huyo amekuwa akimuita Nas ” King’ kitu kinachozua utata huwenda wamekuwa wapenzi baada ya Nicki kutemana na Meek Mill.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents