Burudani

‘Perfect’ ya Ed Sheeran yaongoza katika chati za muziki

Tokea aamue kufanya muziki wa kuimba Ed Sheeran, anazidi kufurahia mafanikio ya kazi zake huku ngoma alitofanya na mwanadada Beyonce  iitwayo  ‘Perfect’ ikiwa inaongoza katika chati za muziki za Billboard Hot 100.

Katika chati hizo mama za muziki duniani ngoma zingine zinazofanya vizuri ni pamoja na ‘Havana’ ya Camila Cabello ft Young Thug  ambayo imeshika namba mbili huku namba tatu  imeshikwa na Post Malone ft 21 Savage kupitia ngoma ya ‘Rockstar’.

Wakati namba nne ikiongozwa na Imagine Dragons kupitia ngoma ya ‘Thunder’, wakati rapper G-Eazy  akishika namba tano kupitia ngoma yake ‘No Limit’ aliyowashirikisha rapper wengine ambao ni A$AP Rocky & Cardi B

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents