AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Picha: Saida Karoli adhihirisha uwezo wa kulitawala Jukwaa

Msanii mkongwe wa muziki wa asili, Saida Karoli amedhilirisha uwezo wake wa kulitawala jukwaa kwa kuimba na kucheza katika tamasha la muziki la Sauti za Busara kwa mwaka 2018.

Saida ambaye amekuwa kivutia usiku wa leo ameweza kukonga nyoyo za mashabiki wake kwa kuimba vibao vyake matata kama vile;- ‘Malia Salome,’ Orugambo’   Mapenzi Kizunguzungu’ na nyinginezo.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW