Burudani

Picha: Ulishawahi kuwaona mastaa hawa wa nje wakiwa bila make-up?

Moja ya vitu tunavyovipenda kwenye waigizaji, ni urembo wao na mwonekano wao, ingawa unaweza ukashtushwa sana siku ukikutana nao nje ya make-up au vipodozi maalumu wanavyovitumia wakiwa mbele ya kamera.

Hapa ninakupa baadhi ya mastaa wa kike katika hali ya kawaida mtaani, mwonekano wao jinsi ulivyo.

Beyonce Knowles
Kushoto: Akiwa anatoka kwenye mgahawa wa INK, Beverly Hills mwaka 2013. Kulia: Akiwa kwenye tukio la “Life Is But a Dream premiere” jijini New York mwaka huo huo 2013

1362511460_beyonce-knowles-640

Ellen DeGeneres
Kushoto: Akiwa anafanya shopping pale Country House mjini Montecito, Califonia, 2013. Kulia: Akituzwa heshima nishani ya heshima Hollywood Walk of Fame mwaka 2012

1373985021_ellen-degeneres-640

Hilary Swank
Kati ya mwezi wa tisa kushoto na mwezi wa kumi kulia 2013

1385497510_hilary-swank-640

 

Iggy Azalea

Kushoto: 2014., Kulia: Mwezi wa tisa 2014 kwenye tamasha la  iHeartRadio “Music Festival”

1412955825_iggy-azalea-without-makeup-640

Faith Hills

Celebrities_Without_Makeup_2

AnnaLynne McCord; 2014, Mdada maarufu kwenye sinema za kwenye televisheni.

Celebrities_Without_Makeup_3-537x470

Sharon Stone 2014 akiwa anajitahidi kupambana na umri wake wa miaka 60

Celebrities_Without_Makeup_4

Jada Pinkett Smith; Mke wa Will Smith
Kushoto akiendesha baiskeli mitaa ya jiji la New York mwezi wa saba 2014. Kulia: Akiwa kwenye uzinduzi wa tamthilia ya Gotham mwezi wa tisa  2014.

1412956342_jada-pinkett-smith-640

Jennifer Lawrence, mwaka 2014 Vyovyote vile huonekana mwenye kuvutia. 

Celebrities_Without_Makeup_5-614x470

Kylie Jenner
Kushoto: Akiwa anafanya shopping Chatsworth, Califonia, November 18 2014. KULIA: akiwa kwenye ufunguzi duka lake pale Beverly Hills, November 14, 2014.

1416494249_kylie-jenner-640

Kelly Osbourne

Celebrities_Without_Makeup_6-537x470

Oprah Winfrey

Kushoto: Akiwa uwanja wa ndege kumpokea rafiki yake pale Santa Barbara Municipal Airport mwezi wa nane, 2013. Kulia: Akiwa kwenye moja ya matukio muhimu.

1377610123_oprah-winfrey-640

Nicolette Sheridan

Celebrities_Without_Makeup_7-537x470

Tyra Banks “Mwana mitindo wakati wote”

Celebrities_Without_Makeup_8-598x470

Rose Byrne, Kushoto: akiwa kwenye matembezi ya kawaida jijini New York 2013. Kulia: Moja ya matukio ya jarida la  Glamour November 2013, Jijini New York.

1385498344_rose-byrne-640-2

Toni Collette
Kushoto: Akiwasili uwanja wa ndege wa  Los Angeles Julai 28, 2013. Kulia: Akiwa  TCA’s Summer Press  Julai 29, 2013 pale The Beverly Hilton Hotel

1377609881_toni-collette-640

Mila Kunis, Inawezekana picha ya kushangaza lakini ndivyo alivyo katika hali ya kawaida kama unavyomwona upande wa kushoto tofauti kabisa na upande wa kulia. Celebrities_Without_Makeup_12-537x470

Lady Gaga, Mara chache sana huwa anaonekana akiwa hana vipodozi na aina yake ya mavazi, upende wake wa kushoto ni moja ya picha yake kwenye instagram.

Celebrities_Without_Makeup_13

Kathy Griffin, Huwezi kumtambua akiwa kawaida

Celebrities_Without_Makeup_15-598x470

Khloe Kardashian, 

Celebrities_Without_Makeup_16

Kim Kardashian. Ana urembo wa asilia ingawa amejibadidisha sana tofauti na zamani.

Celebrities_Without_Makeup_20-537x470

Pamela Anderson, Utafikiri si yeye.

Celebrities_Without_Makeup_24-537x470

Kelly Clarkson.

Celebrities_Without_Makeup_27-537x470

Sofia Vergara, Inawezekana ni picha mbaya ambayo amewahi kupigwa.

Celebrities_Without_Makeup_29-537x470

Jennifer Love Hewitt
Kushoto:Akiwa kwenye manunuzi pale Kitson, Beverly Hills  April 16, 2013. Kulia: Alipohudhuria moja ya hafla siku ya Valentine Mel’s Diner pale West Hollywood February 14, 2013

1368548418_jennifer-love-hewitt-560

Chelsea Handler
Kushoto: Akiwa kwenye matembezi mitaa ya Beverly Hills
Juni 7, 2013. Kulia: AkihudhuRia kinyang’anyiro cha kuchaguliwa kwenye ‘Shameless’ huko Hollywood  Juni 4, 2013

1373984962_chelsea-handler-640

Awali Mwaisanila

A Personal Career Development specialist, passionate about empowering emerging generations of student, graduates and working class.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents