AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Rais Magufuli aijia juu TRA ‘kodi zenu zinaudhi kweli, badala ya kujenga urafiki nyie mnajenga uadui na walipaji’ (+video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameijia juu Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kuwataka watumie mbinu za kisasa katika ukusanyaji wa kodi, kwani kodi zao ni nyingi na zinakera.

Rais John Magufuli amesema hayo leo Desemba 2, 2018 wakati akizindua na kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa visima vikubwa vya maji zaidi ya 20 jijini Arusha, mradi ambao utagharimu bilioni 520.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW