Habari

Rais Magufuli ashiriki ibada Parokia ya Mtakatifu Bikira Maria Imaculata Chamwino (+Picha)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mhe.Mama Janeth Magufuli leo ameshiriki misa ya Dominika ya 32 ya mwaka A katika Parokia ya Mtakatifu Bikira Maria Imaculata Chamwino. Mhe.Rais Magufuli amewashukuru wa Tanzania kwa kuendelea Kuwa na imani nae kwa kumchagua tena katika uchaguzi wa mwaka huu na kuwaomba kuendelea kumuombea kwa Mwenyezi Mungu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents