Tupo Nawe

Rais Magufuli “Viongozi watakaoshindwa kusimamia watu kujiandikisha kupiga kura, Watanzania wasije wakanishangaa kwa maamuzi’ – Video

Rais Magufuli "Viongozi watakaoshindwa kusimamia watu kujiandikisha kupiga kura, Watanzania wasije wakanishangaa kwa maamuzi' - Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewatahadharisha viongozi watakaoshindwa kuhamasisha watu kujiandikisha kwenye daftari la wapiga kura na kusema atamuomba Waziri wa Tamisemi Jafo ampelee takwimu za kila halimashsuri .

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW