Habari

Rais Samia afanya mazungumzo na mgombea Urais Msumbiji

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na mgombea Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO, Daniel Fransisco Chapo.

Mazungumzo hayo yamefanyika leo Juni 12, 2024 Ikulu mkoani Dodoma.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mgombea Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO Ndugu Daniel Fransisco Chapo wakati alipofika Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 12 Juni, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mgombea Urais wa Msumbiji kupitia Chama cha FRELIMO Ndugu Daniel Fransisco Chapo na Ujumbe wake mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 12 Juni, 2024.

Writte by Janeth Jovin

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents