Burudani

Rayvanny afunguka Harmonize kudaiwa kuondoka WCB “Mashabiki wanamtukana mitandaoni,anaweza kuhisi wanatumwa na uongozi wa WCB (Video)

Rayvanny afunguka Harmonize kudaiwa kuondoka WCB "Mashabiki wanamtukana mitandaoni,anaweza kuhisi wanatumwa na uongozi wa WCB (Video)

Msanii wa muziki wa bongo Fleva kutoka lebo ya muziki ya WCB Ryavanny amefunguka kuhusu habari zinazoenea mtandaoni na baadhi ya watu wa karibu wa msanii mwenzake wa WCB Harmonize kuondoka katika lebo hiyo.

 

Rayvanny amefunguka haya:-

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents