Burudani ya Michezo Live

Rayvanny aimba Masozy ya Alikiba,adai hakuna msanii atakayetokea kama Diamond, agawa mafuta kwa madereva bajaj na Pikipiki (+Video)

Rayvanny aimba Masozy ya Alikiba, agawa mafuta kwa madereva bajaj na Pikipiki (+Video)

Msanii wa muziki wa bongo Fleva kutoka lebo ya muziki ya WCB Ryavanny wakati wa tukio la kugawa mafuta bure kwa madereva Bajaj na Pikipiki amefunguka kupitia Bongo 5 na kueleza jins alivyofurahishwa na tukio hilo.

Baada ya kumaliza zoezi zima la kugawa mafuta tulipata muda wa kuongea nae na aliweza kuim,ba wimbop wa masozi ya alikiba shuhudia rayvanny akiimba

Hapa wakati anawasili na zoezi zima la kugawa mafuta

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW