Habari

RC Makonda amesamehewa na Mungu dhambi zake zote alizofanya – Nabii Josephat Mwingira (+Video)

Nabii Josephat Mwingira leo Novemba 04, 2018 akiwa amesema kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam amesamehewa dhambi zake zote baada ya kumfanyia maombi katika ibada maalumu ya kukemea vitendo vya ushoga iliyofanyika kanisani katika Kanisa la Efatha.

Nabii Mwingira akimuombea Makonda amesema Mkuu huyo wa Mkoa kwa sasa yupo mikononi mwa Mungu na ni mtu aliyesamehewa mambo yote mabaya aliyowahi kuyafanya katika uongozi wake.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents