Rich Mavoko atangaza ujio wa tour yake, Nimeachia minitape yenye nyimbo nane hadi ya kumshukuru mungu ipo (+Video)

Msanii wa muziki wa bongo Fleva Rich Mavoko amefunguka kuhusu ujio wa tour yake mwenyewe ambayo atazunguka nchi nzima baada ya kuachia Mintape yake mpya.

Akiongea na clouds Fm Mavoko ameeleza ujio wa tour hiyo lakini pia kufafanua nyimbo zilizopo kwenye mintape yake ambayo ataiachia leo usiku. “Mintape yangu ina nyimbo nane na katika mintape hiyo kuna nyimbo nyingi zikiwemo z amapenzi lakini pia hadi ya kumshukuru mungu ipo ingawa sijawahi kufanyaga wimbo kama huo”

 

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW