Burudani

Serena Williams alamba dili kwa miezi miwili mfululizo

Mcheza tenesi namba moja kwa ubora upande wa wanawake, Serena Williams amepata dili ya kukava jarida la Brides Magazine kwa muda wa miezi miwili.

Dili hilo litahusisha nguo zake alizovaa katika harusi yake kwa kipindi cha mwaka jana na pia dili la kukava linataanza mwezi wa pili na kumalizaka mwezi wa tatu kwa mwaka huu.


Mrembo huyo ambaye ameolewa na C.E.O wa Reddit, Alexis Ohanian alifunga ndoa mwaka jana mwezi wa Kumi na Moja na harusi yake iliudhuriwa na watu wake wa karibu na pia alitinga magauni matatu ya harusi ila magauni mawili pekee ndiyo yalioweza kuvutia jarida hilo na kumpatia dili la kukava.

Baada ya kupewa dili mrembo huyo kutoka familia inayoongoza kuwa na wachezaji wa tenessi alitumia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram kutoa shukrani zake.

This @donatella_versace @versace_official was a dream come true. The cape- well I needed a cape. My two dresses was the best dress I’ve ever worn This is on new stands now. I still am hoping someone invents a time machine so I can relive the wedding. (And eat the beignets) thank you @bridesmagazine and I love you @donatella_versace

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents