Habari

Serikali ya Tanzania yatoa msaada wa chakula, dawa kwa Zimbabwe, Malawi na Msumbiji (+ Video)

Serikali ya Tanzania imetoa msaada wa tani 24 za dawa, na tani 214 za chakula kwa nchi za Msumbiji, Malawi na Zimbabwe, kufuatia maafa ya kimbunga na mafuriko yaliyozikumba nchi hizo.

Wakiongea baada ya msaada huo Waziri wa mambo ya Nje na Waziri wa Afya wamesema:-

Chanzo Azam Tv.

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents