Tupo Nawe

Sheikh Kishki amvulia kofia Binti wa miaka 12 kwa uwezo wa kuhifadhi Quran (Video)

Msichana wa miaka 12 aliyehifadhi Qur-aan tukufu juzuu 30 kwa mara ya kwanza ataiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Afrika yaliyoandaliwa na taasisi ya Al-Hikma Faundation yatakayofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Mei 19 ambapo mgeni rasmi atakua ni Rais Magufuli.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW