Habari

Spika Ndugai atoa neno zito mbele ya Rais Magufuli ‘huu ni uthibitisho, Bunge letu sio dhaifu’ (+video)

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesema kuwa kwa mafanikio ya kazi zinazofanywa na Bunge linaloongozwa na yeye ikiwemo mabadiliko ya sheria za mawasiliano ni ishara kuwa Muhimili huo uko imara.

Spika Ndugai ameyasema hayo leo Januari 18, 2019 mbele ya Rais Magufuli kwenye hafla ya makabidhiano ya mfumo mpya wa kusimamia uwazi katika mawasiliano ya simu (TTMS), Makao Makuu ya TCRA, Dar es salaam.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents