Soka saa 24!

Spika Ndugai aunga mkono hoja ya Musukuma ya ‘kutaka Bunge lisitishe kumlipa mshahara Tundu Lissu’ (+video)

Mbunge wa Geita, Joseph Kasheku ‘Musukuma’ amehoji ni lini Bunge litasitisha mshahara wa mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu ambaye amedai kuwa kwa sasa amepona na anaendelea kuitukana serikali.

Musukuma ametoa kauli hiyo leo Alhamisi Februari 7, 2019 bungeni jijini Dodoma baada ya kuomba mwongozo wa Spika.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW