Burudani

Stamina amvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa muda mrefu (+picha)

Rapper Stamina yupo mbioni kuuaga ukapera baada ya jana kumvisha pete mchumba wake wa muda mrefu ajulikanae kwa jina la Veronica.

Stamina akimvisha pete ya uchumba mpenzi wake.

Stamina amemvisha pete mchumba wake huyo jana mkoani Morogoro na kwa mujibu wa maelezo ya mtu wake wa karibu huenda rapper huyo akafunga ndoa mwaka huu baada ya maajirio.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents